Nembo ya TartilTartilRedio mubashara

Sura At-Tin: maandishi na tafsiri ya maana

Sura ya 95 katika Msahafu, aya 8, inaanzia ukurasa wa 597.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Ash-SharhSura Al-Alaq ›

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

1. Ninaapa kwa tini na zaituni!

2. Na kwa Mlima wa Sinai!

3. Na kwa Mji huu wenye amani mno!

4. Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.

5. Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini!

6. Isipokuwa wale walioamini na wakatenda mema, hao watapata ujira usiokwisha.

7. Basi ni kipi baadaye kitakachokukukadhibishia malipo?

8. Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu zaidi kuliko wote wanaohukumu?

Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)

Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Ash-SharhSura Al-Alaq ›