Nembo ya TartilTartilRedio mubashara

Sura Al-Masad: maandishi na tafsiri ya maana

Sura ya 111 katika Msahafu, aya 5, inaanzia ukurasa wa 603.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura An-NasrSura Al-Ikhlas ›

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

1. Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.

2. Haitamfaa mali yake, wala alivyovichuma.

3. Atauingia Moto wenye mwako mkali.

4. Na mkewe, mchukuzi mkubwa wa kuni.

5. Shingoni mwake iko kamba iliyosokotwa sawasawa.

Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)

Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura An-NasrSura Al-Ikhlas ›