Nembo ya TartilTartilRedio mubashara

Sura Al-Ikhlas: maandishi na tafsiri ya maana

Sura ya 112 katika Msahafu, aya 4, inaanzia ukurasa wa 604.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-MasadSura Al-Falaq ›

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa Pekee.

2. Mwenyezi Mungu ndiye Mkusudiwa.

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.

4. Wala hana anayelingana naye hata mmoja.

Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)

Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-MasadSura Al-Falaq ›