Nembo ya TartilTartilRedio mubashara

Sura Al-Falaq: maandishi na tafsiri ya maana

Sura ya 113 katika Msahafu, aya 5, inaanzia ukurasa wa 604.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-IkhlasSura An-Nas ›

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

1. Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko.

2. Kutokana na uovu wa alivyoviumba.

3. Na kutokana na uovu wa giza la usiku liingiapo.

4. Na kutokana na uovu wa wanaopuliza mafundoni.

5. Na kutokana na uovu wa mwenye husuda anapohusudu.

Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)

Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-IkhlasSura An-Nas ›