Sura ya 109 katika Msahafu, aya 6, inaanzia ukurasa wa 603.
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnachokiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.
4. Wala sitaabudu mnachoabudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)
Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.