Nembo ya TartilTartilRedio mubashara

Sura Al-Asr: maandishi na tafsiri ya maana

Sura ya 103 katika Msahafu, aya 3, inaanzia ukurasa wa 601.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura At-TakathurSura Al-Humazah ›

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

1. Ninaapa kwa Zama!

2. Hakika binadamu bila ya shaka yuko katika hasara.

3. Ila wale walioamini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.

Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)

Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura At-TakathurSura Al-Humazah ›